Wednesday, 11 July 2018

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII MHE. DKT. HAMISI KIGWANGALA KATIA TIMU HALMASHAURI YA WILAYA YA MPANDA


 WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII MHE. DKT. HAMISI KIGWANGALA KATIA TIMU HALMASHAURI YA WILAYA YA MPANDAMsitu wa Tongwe Magharibi kuwanufaisha wananchi wa Halmashauri ya wilaya ya Mpanda. Wataalam kutoka ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Mpanda wakiomuonesha ramani waziri wa maliasili na utalii juu ya vijiji vinavyozunguka msitu huo.

No comments:

Post a Comment