Wednesday, 11 July 2018

waziri wa Maliasili na utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangala katia timu Halmashauri ya Wilaya ya Mpandawaziri wa Maliasili na utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangala katia timu Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda
Waziri wa maliasili na utalii Mhe. Dkt. Hamis Kigwangala akiteremka kutoka kwenye maporomoko ya Nkondwe yanayopatikana katika Halmashauri ya wilaya ya Mpanda. Waziri Kigwangala amefanya ziara ya kutembelea na kukagua misitu ya Tongwe Mashariki na Magharibi Julai 09, 2018.
No comments:

Post a Comment