Monday, 9 July 2018

HALMASHAURI YA WILAYA YA MPANDA (TANGANYIKA) YAITENDEA HAKI MAADHIMISHO NA SIKUKUU YA SABASABA TAREHE 07-07-2018


Mhe. Hamadi Mapengo Mwnyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda akimkabizi Ngao na kiasi cha shilingi laki moja nahoza wa timu ya Kabungu FC kama zawadi ya mshindi wa kwanza na mkuu wa wilaya ya Mpanda Mhe. Salehe Mhando na Mkurugenzi Mtendaji Bw. Romuli R. John.
No comments:

Post a Comment