Monday, 9 July 2018

HALMASHAURI YA WILAYA YA MPANDA (TANGANYIKA) YAITENDEA HAKI MAADHIMISHO NA SIKUKUU YA SABASABA TAREHE 07-07-2018
Mwnyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda (Tanganyika) Mhe. Hamadi Mapengo akitoa vyeti kwa mkuu wa gereza la Kalilankulu pia alitoa vyeti vya shukrani kwa tasisi mbalimbali na mashirika yaliyochangia na kujitolea kwa hali na mali katika maandalizi ya kuukaribisha Mwenge wa Uhuru katika Wilaya ya Mpanda (Tanganyika) yote haya yalifanyika siku ya sikuku na maadhimisho ya Sabsaba 07-07-2018

No comments:

Post a Comment