Monday, 9 July 2018

 
Sikukuu na maadhimisho ya Sabasaba katika Halmashuri ya Wilaya ya Mpanda (Tanganyika) imekuwa ya mafanikio makubwa kwa wafanyabiashara kwani wameweza kuongea na kutoa maoni yao juu ya maswala ya kibishaka katika Wilaya ya Mpanda (Tanganyika), baada ya kuongea na mkuu wa wilaya Mhe.Salehe Mhando akiwa amejumuika na Mhe. Hamadi Mapengo Mwnyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda na Mkurugenzi Mtendaji Bw. Romuli R. John

No comments:

Post a Comment