Friday, 1 June 2018

Viongozi Wakuu wa Halmashauri ya wilaya ya Mpanda wakiteta jambo kabla ya kuanza kikao cha baraza maalum

Viongozi Wakuu wa Halmashauri ya wilaya ya Mpanda wakiteta jambo kabla ya kuanza kikao cha baraza maalum. Baraza hilo limefanyika Mei 29, 2018 katika ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Mpanda. Kutoka kulia ni Mwenyekiti wa halmashauri mhe. Hamadi Mapengo, Mkurugenzi Mtendaji Romuli John, Mkuu wa wilaya ya Tanganyika Mhe. Salehe Mhando, mwenyekiti wa CCM wilaya ya Tanganyika mhe. Yassin Kibiriti na makamu mwenyekiti mhe. Theodora Kisesa.No comments:

Post a Comment