Friday, 1 June 2018

SASA HIVI MOTO UNAENDELEA KUWAKA KATIKA MLIMA WA LIYAMBAMFIPA ULIOKO ENEO LA KATA YA KAREMA UNAWAKA MOTO BAADA YA KUWASHWA NA WATU WASIOFAHAMIKA NA ENEO LILILOZUNGUKA MLIMA HUO KUNA MAKAZI YA WATU. BAADHI YA WANAKIJIJI WAMEFANIKISHA KUJIKINGA NA MOTO HUO KWAKUKAA PEMBEZONI MWA NYUMBA ZAO WAKIJARIBU KUUZIMA MOTO HUO KWA MATAWI MABICHI USIJE ZURU NYUMBA ZAO.
MWASLI LANGU JE MOTO HUU UNGEWAKA USIKU NANI ANGEJUA NA KUPAMBANA NAO?No comments:

Post a Comment