Wednesday, 23 May 2018

Mbunge wa Mpanda vijijini mhe. Moshi Kakoso(wa kwanza kutoka kulia) amepokea kompyuta 25 zenye thamani ya mil. 50 kutoka mfuko wa mawasiliano kwa wote (UCSAF).

Mbunge wa Mpanda vijijini mhe. Moshi Kakoso(wa kwanza kutoka kulia) amepokea kompyuta 25 zenye thamani ya mil. 50 kutoka mfuko wa mawasiliano kwa wote (UCSAF). Akikabidhi kompyuta hizo, Mhandisi Albert Richard amesema kuwa kompyuta hizo zitasaidia kuinua taaluma ya wanafunzi wa shule za sekondari zilizopo katika Halmashauri ya wilaya ya Mpanda.No comments:

Post a Comment