Monday, 21 August 2017

HALMASHAURI YA WILAYA YA MPANDA YA IBUKA KIDEDEA KWENYE MAONESHO YA NANENANE JIJINI MBEYA TAREHE 08/08/2017

HALMASHAURI YA WILAYA YA MPANDA YA IBUKA KIDEDEA KWENYE MAONESHO YA NANENANE JIJINI MBEYA TAREHE 08/08/2017

Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda yaibuka kidedea kwenye kilele cha maonesho ya NaneNane jijini Mbeya yaliofanyika kikanda kwa mikoa ya nyanda za juu kusini.